Friday, August 26, 2011

HARUSI MOJAWAPO YA KIFAHARI KATIKA KIJIJI CHA MASKIN HUKO CHINA I..

Haya jeuri ya pesa.... weekend njema..

hii ni gari ya mwongoza msafara.. 4 Ferrari
gari ya bwana harusi..

kanisani kwa nje..

pete za ndoa full GOLD

bwana harusi na wapambe wake..

bibi harusi akipambwa...

bibi harusi mwenyewe ndo huyu hapa.. kapendeza sana..


wapambe wa bibi harusi..

pete ya uchumba full diamonds..

familia ya bwana harusi..

ndani ya ukumbi

msafara kuelekea ukumbini..

hadi wachina wenzao wanashangaaa...


msafara ulikuwa jumla na magari yafuatayo ya kifahari..
 Jeeps as camera team
4 Ferrari leads
4 Rolls Royce main fleet
6 Mercedes6 Bentleys20 Audi A8s
Hummer at the back
Cayennes for "odd jobs"!!!!!!!!


nice weekend ndugu yangu...

No comments:

Post a Comment